Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Halafu nyie mtasababisha ndugu zangu wanigundue humu[emoji1787][emoji1787]Waambie tunakujua kwa jina la Stella wa Mwakaleli[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huoni Kama vinafanana tu?Usiharamishe vilivyohalalishwa.
Kufanya hivyo ni kutenda dhambi
Tofauti ipo, hiyo ya pili unalipia nguvu zako mfano kutembea kuifuata hiyo bidhaa, kutembea kumfuata mtumiaji hata kama unauzia sehemu moja ule muda ubaokaa kusubiria mtu aje anunue unafanyia kazi hiyo faida. Tofauti na riba, ile pesa ya juu analipia nini?Hivi kwa mfano nikakukopesha 100tzs na makubaliano Ni kunipa 500tzs siku ya kurejesha
Na nikanunua bidhaa kariakoo kwa 100tzs ,nikaja kukuuzia wewe tmk 500tzs..
Kuna tofauti gani hapo?
Mbona zote Ni upigaji tu.
Weka dini pembeni..nimeuliza swali la kawaida tu Bila kwenda kwenye dini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana yupi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawatokaa waamini.
Kuna mmoja juzi nilikuwa namuhadithia juu ya yule kijana aliyejinyonga..ati ananiulizia unatumia jina gani jf..nikaishia kucheka tu.
Ila akiingia atanigundua tu maana hili Anne sometimes huwa wananiita nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mda unaongoja ulipwe nayo si ndio faida ya kukopeshaTofauti ipo, hiyo ya pili unalipia nguvu zako mfano kutembea kuifuata hiyo bidhaa, kutembea kumfuata mtumiaji hata kama unauzia sehemu moja ule muda ubaokaa kusubiria mtu aje anunue unafanyia kazi hiyo faida. Tofauti na riba, ile pesa ya juu analipia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi dada yangu hayupo Jf ila kuna kipindi nilimuonyeshaga nyuzi za humu na username yangu nilimwambia. Siku akimiliki smatfon kwisha habari yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawatokaa waamini.
Kuna mmoja juzi nilikuwa namuhadithia juu ya yule kijana aliyejinyonga..ati ananiulizia unatumia jina gani jf..nikaishia kucheka tu.
Ila akiingia atanigundua tu maana hili Anne sometimes huwa wananiita nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka kutafuta logic kwenye kila dhambi utakwama. Kwa mfano unaweza kuniambia ni kwa nini kufanya mapenzi kabla ya ndoa ni dhambi?
Kuna kazi gani kwenye kungoja? Unaweza ukakopesha ukaenda kulala unasubiria malipo...hapo umedhulumu maana hakuna kazi uliyofanya hapoMda unaongoja ulipwe nayo si ndio faida ya kukopesha
Ila anaweza asikumbuke..Mimi dada yangu hayupo Jf ila kuna kipindi nilimuonyeshaga nyuzi za humu na username yangu nilimwambia. Siku akimiliki smatfon kwisha habari yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaoomkopesha mtu hela unafanya opportunity cost.Kuna kazi gani kwenye kungoja? Unaweza ukakopesha ukaenda kulala unasubiria malipo...hapo umedhulumu maana hakuna kazi uliyofanya hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu iko wazi kabisaUkitaka kutafuta logic kwenye kila dhambi utakwama. Kwa mfano unaweza kuniambia ni kwa nini kufanya mapenzi kabla ya ndoa ni dhambi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezi kuwa kitu kimoja kabisaUnaoomkopesha mtu hela unafanya opportunity cost.
Unaforgone vitu vingine kwa ajili ya kumkopesha mtu
Ni sawa tu na anayenunua bidhaa mwanjelwa kwa shilingi Mia na kuniuzia uyole Mia tano
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa we endelea kuchukua riba kama utaingia mbinguni [emoji23][emoji23]