Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Biashara ni tendo lililohalalishwa na faida yake imehalalika bila kujal kikomo cha faida.
Riba imeharamishwa bila kujali wingi au uchache wake.
Aliyeharamisha Kamari na riba nyinginezo ni Mwenyezi Mungu na aliyehalalisha biashara ni yeye pia.
Kwahiyo siwezi kumuingilia kujua sababu ingawa mwenyewe anasema riba ni dhulma
Basi nijibu kwa misingi ya dini
Kwanini Sheria inaruhusu biashara nyingine na kukataza biashara ya riba?
 
Maziwa sio dawa ya vidonda vya tumbo, Huleta unafuu wa muda tu baada ya hapo yanasababisha tumbo kutengeneza asidi nyingi na kukuumiza zaidi ikiwemo vidonda kuchimbika zaidi. Hivyo, ukiwa na vidonda vya tumbo, usinywe maziwa ya aina yoyote". Dr Mabula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…