Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Miji inayokua kwa haraka zaidi duniani (Afrika) 2020.

1. Bujumbura, Burundi
2. Zinder, Niger
3. Kampala, Uganda
4. Kabinda, Congo
5. Songea, Tanzania
6. Mwanza, Tanzania
7. Gwagwalada, Nigeria
8. Bunia, Congo
9. Niamey, Niger
10. Tete, Mozambique
11. DSM, Tanzania
Chanzo: Weforum
 
Kinachoendelea kwenye miji kadhaa nchini China, Wamekuwa wakipulizia dawa ili kupunguza na ikiwezekana kama itaua kabisa virusi vya Corona. Kwa mji wa Wuhan ambapo ndipo kiini cha tatizo lilipogundulika kwa siku wanapuliza dawa katika mitaa mbalimbali mara mbili Asubuhi na Jioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…