Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Mimi changu kibaya ila nazitoa.Yaani mimi imebidi nibadili style ya hiki kichwa
Huwa naugua kuchana nywele mimi[emoji134][emoji134]
Sema kunyoa nywele zote inataka moyo na uwe na kichwa kizuri[emoji23][emoji23]
Zimenyofoka sana
Sent using Jamii Forums mobile app