Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nchi zenye intaneti yenye kasi ndogo zaidi kwa mwaka 2019.

1. Yemen- 0.38 MBps
2. Equitorial Guinea- 0.51 MBps
3. Mauritania- 0.59 MBps
4. Turkmenistan- 0.70 MBps
5. Niger- 0.71 MBps
6. Ethiopia- 0.80 MBps
7. Somalia- 0.86 MBps
8. Djibouti- 0.88 MBps
9. CONGO DRC- 0.93 MBps
10. Benin- 0.94 MBps
 
Mwaka 2011 Mzee wa miaka 99 kutoka Italia alitalakiana na mke wake mwenye miaka 96 baada ya kugundua mke wake huyo ambae walidumu pamoja kwenye ndoa kwa miaka 77 aliwahi kuwa na mahusiano mengine ya kimapenzi na mwanaume mwingine kwenye miaka ya 1940's.
 
Kuna baadhi ya watu hawajisikii vizuri kuweka sauti ya TV au radio ambayo haigawiki kwa mbili, mfano 3, 7, 9 na kuendelea badala yake hupendelea kuweka sauti kuanzia 2, 4, 6, 8, 10 na kuendelea.

Sababu mojawapo inatajwa ni kutokana na urahisi wa mapokeo kati ya namba witiri na shufwa, wengi hupenda zaidi namba shufwa (Zinazo gawika kwa 02).
 
Utajiri (Net Worth) inatafutwa kwa kuchukua thamani ya vitu vyote unavyomiliki (Mashamba, kampuni, magari n.k) kisha unatoa kwa madeni yote uliyonayo, Thamani ya pesa inayobaki ndio utajiri wako.

Vipi una utajiri wa TSH ngapi baada ya kufanya hayo? 🙂
 
Truman syndrome' ni aina ya tatizo la kisaikolojia linalomfanya mtu ajihisi na yeye anahusika na kuishi kama anayoyaona maigizo katika Tv. Mtu hujihisi muda wote maisha yake yanarekodiwa na kamera na kuonwa na watu wengine.
 
Ili kujua kama mazungumzo kwenye simu yako yanafuatiliwa piga *#61# kisha alama ya kupiga simu ujumbe ukija "Forwarded" kuna mtu anafuatilia mazungumzo na ujumbe mfupi wa maneno unayotuma. Ukija "Not Forwarded" hakuna anaefuatilia.

Kuondoa au kumzuia mtu asiendelee kufuatilia mazungumzo yako piga ##21#.
 
iPhone 6 na 6 Plus' kutoka Apple ndio zinazoongoza kwa kununuliwa zaidi licha ya matoleo mengine kuendelea kuachiwa. Zaidi ya Milioni 222.4 tayari zipo mikononi mwa watu. iPhone 6 na 6 Plus ziliachiwa rasmi mwaka 2014.
 
Back
Top Bottom