moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ukikuta mtu anatoka mbeya na hajui kusifia au kushukuru ujue huyo sio wa mbeya.Kwa kusifia [emoji1430]
Hahahah pole carbaNaona nimepitishwa kituo[emoji134][emoji134][emoji134]
Machame [emoji41]
Nipo hapa kushuhudia pichaKakaa, kumbe upo..chelsea boot zipo poa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#gunialachawa
😀😀Ngoja ukuwe mdogo wangu
40-23=17
Mbona range ndogo sana
Itabidi na mimi niweke picha unisifieUkikuta mtu anatoka mbeya na hajui kusifia au kushukuru ujue huyo sio wa mbeya.
Mwanamke wa mbeya ukimpa kitu,anaweza kukusifia Hadi ukatokwa na machozi.
Ni nature yetu
Embu weka na wewe tuone.
Tena sijawahi kuona mchaga mbaya Mimi[emoji7]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hii sheria ya kunyongwa hadi kufa hapa nchini inafanya kazi bro?
Tena wewe sifa zitakuwa zaidiItabidi na mimi niweke picha unisifie
Kwanza amejiongezea miaka.
Pia amenipunguzia miaka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi hata simjui.
Natamani nidownload insta nimjue..maana si kwa vichambo anavyotoa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza Basi tuone hata upaja[emoji7][emoji7][emoji7]
Ndiyo.
Huyu bonge mwanzangu..akiweka yeye Ni sawa na nimeweka Mimi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]