Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Nimekuharibu au umejiharibu mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo hivi mnaviweza wenyewe.
Unaona sasa ulivyoniharibu mtoto wa watu na bange zenu hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenda huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unatamani ukubwa eeh[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila nisikia Rais wetu mtukufu huwa hatii sahihi ya kunyonga watuIpo kazini bro asikudanganye mtu eti furani ananyonga na furani hanyongi.
Uongo mtupu, wafungwa waliohukumiwa kifo wananyongwa sana tu bro
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2296][emoji2296] aise itakuwa maana siyo bure
Ni wewe Huyo[emoji23][emoji23][emoji23]Nimekuharibu au umejiharibu mwenyewe
Imebidi niwasifie tu kwa jinsi ninavyowakubaliKanitaja halafu hata simjui 😀😀 isije kuwa ni ID ya Mkokaa
Mi najua wanawake ndio wanakuwaga wazuri
Wanawake ni warembo....Mi najua wanawake ndio wanakuwaga wazuri
Beautiful si mzuri kwa kiswahiliWanawake ni warembo....
Wanaume ni wazuri......
Aisee, sikuwa najua hili broIpo kazini bro asikudanganye mtu eti furani ananyonga na furani hanyongi.
Uongo mtupu, wafungwa waliohukumiwa kifo wananyongwa sana tu bro
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala likes tuko vizuri. Tumewakilishwa na ma great thinkers watatu huko:
Pamoja bro[emoji109]Nipo hapa kushuhudia picha
Na handsome kwa kiswahili si ni mzuriBeautiful si mzuri kwa kiswahili
namna mwanamke anapokua na mvuto zaidi,ndivyo mwanaume anavyopuuzia kutumia kondom
Itabidi waseme hizo mada na michango yao yenye kuelimisha na ukomav wa fikra Depal Ayyanna The HappinessWala likes tuko vizuri. Tumewakilishwa na ma great thinkers watatu huko:
Depal
The Happiness
Ayyanna
Safi sana aisee [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani nakuta tu matairi ya gari,dah!![emoji124][emoji124][emoji124]
Sawa ma mchungaji
Hahaha utaharbu sasa, wewe elewa hvyo hvyo tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii kauli huwa inanifurahisha sana sijui kwanini
Kipo wapi hiki kisiwa?Katika Kisiwa cha Mangaia Vijana ambao hawajaoa hutakiwa kukutana kimwili na Wanawake waliowazidi umri ili wapate ujuzi na uzoefu wa kutosha kabla hawajaoa.