Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Matumizi binafsi sio?[emoji23][emoji23]Mkono ulivyonona
Kila baada ya muda nauchungulia Kwenye gallery yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] matumizi binafsi yamezidi humu ndani[emoji51][emoji51]Matumizi binafsi sio?[emoji23][emoji23]
Enjoy babe[emoji4][emoji7]Asantee Admin
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kunichoma roho basi
Ninge naye Ni Moto wa kuotea mbali.
Tena ametuma picha ile sehemu inayovutia kuona [emoji91][emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie naipenda kweli.Hii ilinishinda aisee
Shwaini zako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Miye kinara wenu humu. Seventi faivu parefu sana aisee. Hasa kwa sisi wanaume wa Kiafrika...
Wewe nadhani bado unachezea midi 40s...
Ankoo wa Mwakaleli naye labda leti 40s
Wadogo zangu wa mbaaaaliiii hata mngeweza kuwa wanangu kabisa kama ningejidamka...
Yaani anne na Kd siwaelewi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] matumizi binafsi yamezidi humu ndani[emoji51][emoji51]
Ya kusaifishia macho [emoji23][emoji23][emoji23]Matumizi binafsi sio?[emoji23][emoji23]
Yaani anne anaweza kukufanya ujinyonge[emoji23][emoji23]Ni bora nikule feedback mimi kuliko upewe na Annie[emoji23][emoji23][emoji23]
Wote ambao hamjaona picha ya ninge poleni sanaNi bora nikule feedback mimi kuliko upewe na Annie[emoji23][emoji23][emoji23]
Uzembe wakoYa Ninge nimeikosa....
Ya Depal nimeikosa....
Ya Mkokaa nimeikosa....
Ya King niliikosa....
Na connection sina dah !!!
What is going on?