Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Basi sawa kaka mkubwa π€Yeap nipo kitambo sana humu toka siku ya kwanza kuanzishwa huu uzi.. Ila huo utetezi unaotaka kunipa hapana. Ukizingatia nilikua nimepost picha
πππππ
@Daemusin sio mtu mzuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aseeh,
Hahah! Hataki kuona mafanikio yako
Naelewa naelewaamna shida kabisa kiongozi mm niko poa..
sare zao mbayaaaaKiongozi Mkuu,
Mwenyekiti,
Makamu wenyeviti.
Aisee! Ni hatari sasaMarca: 5 infected at Valencia CF. Garay, Mangala and Gaya among those that tested positive for COVID-10
si wanasema watu weusi hawapati CORONA...... huyo mangala ni mkorea?Aisee! Ni hatari sasa
Amemsahau na Side Mstorowei [emoji1]
Sijui ana shida gani huyu mla urojoHahah! Hataki kuona mafanikio yako
Ankoo umewahi kukutana na harufu ya mwanaume aliye vaa jezi ya asenali mchana wa jua kali? Au unaongelea harufu ya parachichi?
Tuacheni jamani
Hahah!!! Tena huyu ni mweusi kuzidi kipimo.....si wanasema watu weusi hawapati CORONA...... huyo mangala ni mkorea?
View attachment 1389275
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namashaka na wewe, huenda ni jibaba uliyeishi sana Mombasa Kenya.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
πππNashangaa [emoji23][emoji23]
Amesahau mpaka ile chakula yetu maarufu aka Hashua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app