Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Top 10
Ni maisha yake mkuu. We fanya yako. Umepiga hatua kwa sister? Naona ulinishtakia mpaka kwa bebi wangu.Leo nimemuona le mbebez jamaa ana mwili jumba lkn!!
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Duh! Kweli kilikuja na meli![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Unamaanisha nini bageshi? Hutaki nikusanye ng'ombe?Aiseee kuna watu wana moyo jaman. Ushawahi ona wapi meli ikapaki airport
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kma yule mwenzie[emoji276] [emoji276]Huyu mzee watamuua kwa msongo wa mawazo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Namsikitikia lakini sina la kufanya!Mzee wa data naona unaangalia kijana wako kuchinjiwa baharinj
Na zako je? Tutoe katika mkwamo please...Nimegundua akili za Viongozi zimefika mwisho