Kumbe kuna watu wana ratiba kama hizo?ila tunatofautiana sekta tunazofanyia kaziTutalalamika mpaka liamba lakini kwa mtindo huu maendeleo tutayasikia kwenye bomba tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
chukua like mkuuCheers [emoji485][emoji485][emoji485]
Hakuna la ajabu hapo. Wengi tu tupo jobless. Unaajiri?Nimegundua baadhi hapa hawana kazi ya Kufanya
Ushakusanya ng'ombe za kutosha.Unamaanisha nini bageshi? Hutaki nikusanye ng'ombe?
Pamoja mkuu!Namshukuru Mungu kupitia kwako ukatupatanisha.Nayajua maumivu ya kuachwa tena mke kukwapuliwa na mibazazi hii,pambana tu,utayashinda.Nimependa ulivyo mkabidhi moyo wako.
Ndio,siunajua this current world we are leading two lives...internet and social media life.,and the real life.Ulipotea
RIPBadley kafariki