D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
yupo tanga kwa mke wa tatu..... huenda muda huu analishwa chapati za maziwa.
Weka zako na Wewe
Kama hutaki Mimi nitaendelea kusifia wenzio
Heee kumbe😂😂😂😂 kumbe wewe hujaelewa vizuri sasa, ni kinyume cha hiyo uliyosema wewe
😂😂😂😂Njiwa karuka toka TMK mpaka Mbezi kwa anko, ati kaenda kutaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiboko yetu kipindu pindu.Hahaa, kiboko yetu Ebola. Mafua kama Cancer ya ngonzi tu; haituhusu. Natania jamani, ila bado kuna kitendawili hapa. Weusi huu ugonjwa haujatuathiri sana, unadhani ni kwa nini?
si wanasema watu weusi hawapati CORONA...... huyo mangala ni mkorea?
View attachment 1389275
Hii ndio sababu kubwaNa njaa mbaya sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro
Halafu kamiss kuongeza mke. Tatizo ilikua pesa tuHii ndio sababu kubwa
Itabidi waseme hizo mada na michango yao yenye kuelimisha na ukomav wa fikra Depal Ayyanna The Happiness
Somatic CellsHomoni inayokufanya uzidi kukua huzalishwa pindi ukiwa umelala kwa kiwango kikubwa zaidi.