Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimeona pipo zipo deep kishenzi eti akiandika baada ya muda anareview kama pumba anafuta

#[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuko tofauti bhana,kuna watu wanajaribu ku fit in kila sehemu
#infirioritycomplex
 
Mobutu Sese Seko, rais wa Zaire (Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo) alipitisha sheria kwamba Televisheni ya Zaire hairuhusiwi kumtaja mtu yeyote kwa jina isipokuwa yeye. Aliagiza habari zote za jioni zianze na tukio la yeye kushuka kutoka mbinguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…