Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
ππππ nilivyosoma hiyo tarifa ya kidevu imebidi nikishike kabisaKama kidevu cha davet[emoji23][emoji23]
Ningekua anne ningeanza kulilia picha saiv[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ππππ nilivyosoma hiyo tarifa ya kidevu imebidi nikishike kabisa
carbamazepine baada ya kusoma hii tafiti utaendelea kunipa zawadi ya Chokoleti au utaacha?Chokoleti ina kiwango kikubwa cha kemikali aina ya Theobromine & Phenylethylamine ambazo huongeza hamu ya kufanya mapenzi.
ππππ ndio unalilia kijanja shwain zakoNingekua anne ningeanza kulilia picha saiv[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ππππ ndio unalilia kijanja shwain zako
πββοΈπββοΈ
I see me πFactitious Disorder: Ni tatizo la akili linalomfanya mtu atamani kuumwa, ajifanye anaumwa au azidishe kuonesha dalili za kuumwa. Mara nyingi anapofanya hivyo anakuwa anakwepa majukumu au anatamani kupata matibabu kwa haraka au anataka watu wengine wamhurumie na kumjali. (Cleveland Clinic)
Daah! π πcarbamazepine baada ya kusoma hii tafiti utaendelea kunipa zawadi au utaacha?
ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nirudi kusoma vizuri nilichokiandika mana hii daah! inanitisha πππDaah! π π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasikiliza somo mwalimu[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu ni ugonjwa wa akili sasa.
Yaani mimi carba nianze kujihisi ni ng'ombe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]