Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona pipo zipo deep kishenzi eti akiandika baada ya muda anareview kama pumba anafuta
#[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu wanataka kuandika point tu humu,hawataki kuonekana wanaandika ujinga[emoji23][emoji23][emoji23]
#weendeleanamashuduyakotu[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchekeshaji Charlie Chaplin' aliwahi kushiriki kwa siri shindano la kumtafuta mtu ambae anafanana na yeye mwenyewe. Kilichotokea, yeye mwenyewe alikamata nafasi ya tatu.
Hadi ya parachichi imekupita!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli leo sina bahati[emoji41]
Nyani wanatumiwa kuvuna nazi nchini Thailand, Sri Lanka, Malaysia, Indonesia na India. Nyani hufundishwa kufanya kazi hiyo na wataalamu wa kilimo na wanyama. Kwa wastani ndani ya siku, nyani wa kiume anavuna nazi 1600, wa kike 600 na binadamu anavuna 80. (NPR)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Abeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuungane Leo kumuomba Mkokaa atuonyeshe lips
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole,kuna saa siku ukiwa na hela vitu au bidhaa nzuri huzioni. Kosa hela upite hapo kila unachokiona ni kizuriJuzi nimezunguka kariakoo kuanzia saa tatu hadi saa kumi, ilibaki kidogo nife
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inawezekana kupika yai bila kutumia moto pia una uwezo wa kurudisha yai lililochemshwa mwanzo na kuwa katika hali kabla ya kuchemshwa.
Wanyama wengine mbona midomo yao haidondoki au imeshikwa na nini?Kidevu kinashikilia mdomo na kuleta mpangilio mzuri wa meno kinywani
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia shepu za midomo Yao zilivyoWanyama wengine mbona midomo yao haidondoki au imeshikwa na nini?
[emoji2089][emoji2089]
Vijora fc
Waganga fc
Naomba picha MkokaaView attachment 1389708
[emoji3][emoji3][emoji3]