carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nzi dume hupatwa na stress kama akikataliwa na jike kujamiiana. Utafiti unaonesha huwa na kawaida ya kunywa pombe ili kuondoa stress baada ya kukataliwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naachaje sasa[emoji16][emoji16]
Na mimi nitaendelea kupokea mbali na maelezo mengine na numby nataka kuimarisha afya ya ubongo[emoji23][emoji23]
😂😂Nzi dume hupatwa na stress kama akikataliwa na jike kujamiiana. Utafiti unaonesha huwa na kawaida ya kunywa pombe ili kuondoa stress baada ya kukataliwa.
Mikia fcUtopolo fc
Aa wapi..siwezi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anne umesikia ??
Ikiwa watu wangu,Walioitwa kwa Jina langu ,wakijinyenyekeza na kuomba na kuutafuta uso wangu; na kuacha njia zao mbaya ;nami nitasikia kutoka mbinguni na kuiponya nchi Yao.
Mambo ya nyakati wa pili
Amen
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀 mmempa mganga baskeli isiyo hata na break alafu mnawapa wachezaji milioni 200 wakati mganga ndio kacheza mechiMikia fc
Tafuta uso wa bwana mkuu achana na picha
@Kichwa Kichafu mzee wa pete za visoda[emoji23][emoji23]Unyonge wako una kukosesha mengi sana.
Natamani nikufananishe na Kichwa Kichafu kwenye harakati zako zisizo na mafanikio [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Anko kwema huko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe natamani watuambie hakuna kwenda kazin kwa siku30Wanafunzi wanatamani shule zifungwe
Nautafuta Sana.Tafuta uso wa bwana mkuu achana na picha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ankoo maziwa?!!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yaani haya haya maziwa?
Labda kama yanasababisha kuvimba tumbo hapo nitaamini..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi mwenyewe natamani watuambie hakuna kwenda kazin kwa siku30
Leo ndio nimesoma maneno ya kwenye avatar yako
Najua umesoma hapo ukaandika hapa.Leo ndio nimesoma maneno ya kwenye avatar yako
Hizo siku ndio zitakuwa likizoMimi mwenyewe natamani watuambie hakuna kwenda kazin kwa siku30
SawaNajua umesoma hapo ukaandika hapa.
Ni mazuri Sana..
Niliipenda ule wimbo ulioniwekea Jana hapa..
Natamani uniwekee mwingine mzuri Kama ule
Sent using Jamii Forums mobile app
Na aliwavalisha kweli kweli [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]@Kichwa Kichafu mzee wa pete za visoda[emoji23][emoji23]
Kama hirizi ya kagele.😀😀 mmempa mganga baskeli isiyo hata na break alafu mnawapa wachezaji milioni 200 wakati mganga ndio kacheza mechi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama hirizi ya kagele.
#kuzirafc