Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukifumba macho tu waiona Corona....

Usipokuwa makini kesho utaamka na kijikohozi cha kishikaji na kihoma cha mbaliiiii....

Fear can lead to stress which can compromise your immune system. You don't wanna do that.
Unahisi nina hofu sana basi, nipo tu kawaida ila niliogopa kulala maana umeme ulikatika...now umerudi naweza kulala 😎
 
Jean-Louis Biron na JoΓ«lle Andrieux, raia wa Ufaransa wamemshtaki jogoo (Maurice) wa jirani yao kwa kusababisha kelele kutokana na kuwika kila siku asubuhi, tangu mwaka 2017. Mmiliki wa jogoo huyo, Corinne Fesseau amesema kuwa anafanya kile majogoo wote hufanya, kuwika.
 
Bibi wa miaka 74, Yerramatti Raja raia wa India, amebahatika kujifungua watoto mapacha, baada ya kukaa kwenye ndoa kwa miaka 54 bila mtoto.
Daktari amesema, Yerramatti Raja amejifungua salama na ana furaha na mume wake baada kupata watoto'.
Credit: Eatv
 
Niliwahi kojiona kuwa nilikuwepo miaka kadhaa iliyopita wakati wazee wakisimuliana matukio ya miaka iliyopita kabla sijazaliwa.
Kila wanavyohadithiana najihisi kukumbuka matukio husika ingawa sikuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda Wahindu wako sahihi na incarnation yao [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…