Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
From The Richest Man in Babylon?
Haha dogo tuliaTeh teh, naona shem alikuwa anakupigia kukutahadharisha na Corona siyo.
Ndiyo lakini sina wasiwasi. Atapona japo ni mhenga kidogo. Tom Hanks na mkewe wamepona pia. Labda awe na ishu zingine....
Sijui. Mi nilikimbia [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Ndio watoto wa kwanza?Bibi wa miaka 74, Yerramatti Raja raia wa India, amebahatika kujifungua watoto mapacha, baada ya kukaa kwenye ndoa kwa miaka 54 bila mtoto.
Daktari amesema, Yerramatti Raja amejifungua salama na ana furaha na mume wake baada kupata watoto'.
Credit: Eatv
Kwani wewe ni mwenyeji wa wapi? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Nilitaka kuedit ila simu ikaita. Normal typo [emoji41]
Yes
Huo ndio mpango mzima MkatalunyaChamsingi ni ku Trust the Process tu
[emoji16][emoji16][emoji16] sikuwa nimesoma hadithi yoteSijui. Mi nilikimbia [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Haha dogo tulia
MachameKwani wewe ni mwenyeji wa wapi? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]