moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hii toffplus Ni hatariColdrill naona imeanza kunizoea,hio toffplus sijawahi ijaribu,ntaisaka
Sijambo ustaadh..
Kumeza Nini?
Wallah kama Ni mpango wa Mungu Mimi kufa na Corona wacha nife tu
Mungu ninayemwamini sidhani kama anaweza tengeneza mazingira ya namna hiyo ya watu kupata dawaIkitokea kuwa hiyo ndiyo dawa ya kupona maradhi furani kwa akina dada na hakuna mbadala, naamini utakunywa tu.
Ikibidi ndugu zako watapanga mikakati wakunyweshe kwa nguvu
Sent using Jamii Forums mobile app