Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Msalimie sana Chief Tui[emoji17][emoji17] asante
Msalimie sana Chief Tui
UnajidescribeSasa kwenye interview ndiyo utalijibuje, maana hilo swali ni gumu tena bora uulizwe huko nyumbani unaweza hata kuingiza utani hilo swali kwenye interview ni gumu acha tu.
😁😁😁Ooh daddy nitamsalimia, japo nina mpango wa kubadili tena id. [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee uchafu tena?
Kama unaona hivyo basi nakushauri ile safari yako ya Temeke ivunje tu mana naona mtagombana tu [emoji3]
[emoji134][emoji134]Ooh daddy nitamsalimia, japo nina mpango wa kubadili tena id. [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Msalimie na MauiOoh daddy nitamsalimia, japo nina mpango wa kubadili tena id. [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Hamna dawa nzuri
Vipi na ile wakubwa wanasemaga mapezi sijui mapenzi ni uchafu, unasemaje juu ya hili?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzuri assumptions za kwamba uchafu Ni dawa Ni za kusadikika tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16]
Nivujishie basi hiyo mpya itakuwa nani?
Msalimie na Maui
Kabla ya kwenda lazima nipige story na maHR nnaofahamiana nao..lazima nisome notes zangu za LG na nijisome mwenyeweKuna namna ya kujieleza, watu wengi wanashindwaga hapo.
SijajuaVipi na ile wakubwa wanasemaga mapezi sijui mapenzi ni uchafu, unasemaje juu ya hili?
Kabla ya kwenda lazima nipige story na maHR nnaofahamiana nao..lazima nisome notes zangu za LG na nijisome mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya corona
Ukibadilisha na Avatar lazima nitakupotea labda ukibadili id alafu yenyewe uiache kwa muda ....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] utaiona tu, ila nahisi mods washanichoka aisee.
Max Ni mjomba wako?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]