Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Wamemchoka vibayaUkibadilisha na Avatar lazima nitakupotea labda ukibadili id alafu yenyewe uiache kwa muda ....
Sisi tu tunakuchoka sasa sijui hao mods itakuaje [emoji3]
Kumbe bado tunawahitaji? basi sasa wakikuambia kitu fulani ni dawa usiwapinge
HeeWacha bwana, haya wenye connections zenu.
Mbishi sana huyuKumbe bado tunawahitaji? basi sasa wakikuambia kitu fulani ni dawa usiwapinge
😀😀😀
Isiwe tu itakayonieletea kutapika.Kumbe bado tunawahitaji? basi sasa wakikuambia kitu fulani ni dawa usiwapinge
Heheh!Mbishi sana huyu
Basi sawa Anne wacha nikutakie afya njema kila siku na Mungu akuepushe na maradhi....Isiwe tu itakayonieletea kutapika.
Maana itakuwa homa juu ya homa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbishi sana huyu
Amen[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Basi sawa Anne wacha nikutakie afya njema kila siku na Mungu akuepushe na maradhi....
Tuseme "Amina"
Unaumwa nini tena?Amen[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Japo hapa nilipo naumwa.
Nawaza na Corona ikinikuta sijui itakuwaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee uchafu tena?
Kama unaona hivyo basi nakushauri ile safari yako ya Temeke ivunje tu mana naona mtagombana tu [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzuri assumptions za kwamba uchafu Ni dawa Ni za kusadikika tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi na ile wakubwa wanasemaga mapezi sijui mapenzi ni uchafu, unasemaje juu ya hili?