Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwenyezi Mungu atunusuru na janga hili
 
[emoji23][emoji23]nimeipenda id ya [emoji534][emoji534]
Mzima,corona anasemaje huko?
Umeshanunua TP(toilet paper) na wewe maana ndo nasikia zinanunulika sana[emoji23]
Hio id naitaman maana nitaonekana mhenga ila sasa sina fact za kuielezea mpaka nirudishiwe

Koromije korona hamna ila waendesha baiskel mwanzo mwisho mask cheeeiii

Mmmh TP hazinihusu mie,hapa ni mwendo wa maji kama kawaida
 
Kuwapata tena wafungwa hao itakuwa mtihani.
Uhuru ulivyo mtamu hivi upate fursa kama hiyo kisha ubaki unashangaa shangaa mpaka wakudake mara ya pili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…