Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahah! Mangala alikinukisha kitambo nahisi atakuwa anakaribia kupona sasaBeki wako Mangala naye anayo
Wacha weee πππ..... embu tuone mguuSema mguu wangu utakipendezesha
Wacha weee πππ..... embu tuone mguu
Mmh! Wataweza kweli?Naona kuna kikao epl kuendelea bila mashabiki
ππππCheiii hebu huko
Waaaow notes noted [emoji23][emoji23]ππππ
Usiku wa kuamkia leo nimeota umetoa baraka tena bila kuhusisha matumizi ya emoji
Hapo sasa ndo mgogoro ulipoMmh! Wataweza kweli?
Wachezaji wenyewe kila siku wanaibuka wagonjwa kuna baadhi ya timu walishavunja kambi, Ona kama Arteta ataweza vipi kufanya mazoezi na kutrain wachezaji wake ikiwa yupo kalantini?