Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahah nimeona insta wafanyabiashara wanazishika kwa mikono hata sio misafi eti wanazihesabu zipo ngapi ili wajue faida
[emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wamepata sehemu ya kupigia pesa na hawachelewi
Jana nimeona bri ya hand sanitizer imepanda,mls 500 inauzwa 100k.
Watu wanatengeneza majumban na kuuza kwa bei hiyo

Mungu atusaidie tu kwakweli
 
Sema pia kuvaa ni muhimu ili kukwepa kuambukiza au kuambukizwa.
 
Nimerudi kwa bashasha zote[emoji23][emoji23][emoji23]
Si unafahamu nipo darasa la 6 sasa.

Kama ulinipa namba ya gari kwanini usinilaumu sikuaga
[emoji23][emoji23]
Shule zimefungwa kumbe?
Umekuwa uniq na wewe?

Karibu tena bhana,nilikumiss sana[emoji847][emoji847]

Nasema hivii,we jitetee tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…