Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
KweliNa sasa hivi ndo kinachofanyika,kila mtu anavaa sababu kaona wengine wamevaa.
Ila tuendelee kuchukua tahadhali maana bwana corona yupo na cases zinazidi kuongezeka
Kuna ile lovillea tetesi inasaidia kuzuia korona,imepanda kutoka 2000 hadi 50000 daah[emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wamepata sehemu ya kupigia pesa na hawachelewi
Jana nimeona bri ya hand sanitizer imepanda,mls 500 inauzwa 100k.
Watu wanatengeneza majumban na kuuza kwa bei hiyo
Mungu atusaidie tu kwakweli
Duh! Mungu awaponye wagonjwa wote
Poleni wakulima