Mwaka 1993 Tupac alipokea Barua kutoka kwa mtoto Joshua ambae alikuwa amebakiza muda mchache wa kuishi kutokana na Kansa. Joshua ombi lake lilikuwa ni kutaka kuonana na Tupac tu. Tupac alisafiri mpaka Maryland na kumchukua Joshua na kwenda nae kutazama mechi ya Basketball. Baada ya kifo cha Joshua Tupac aliamua kubadilisha jina la kampuni yake kutoka Ghetto Gospel Music kwenda Joshua's Dream