Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Watu wengi wanaohudhuria hizo Booty camp
Mjini marafiki wengine hujawahi hata kuwaona ila nguvu yao kubwa sana kuliko unao waona. Kula like mkuuchukua like kwa kulitambua hili
Heshima kwako mkuuAfrica na resources zote bado masikini.
Are we really investing on Extracting these resources au tuna invest kwenye siasa?
Tuna nia kweli.
Tutaishia kuona flyovers na rockets kwenye movies.
Kama kweli Wa Africa tungetaka kuwa matajiri...system zingekuwa Imara na huu Uzi usingekuwa na hata page elfu tano.
Watu wako discouraged Hamna motivation...
Sema ndo hivyo Africa hakuna matata[emoji4]mwendo wakupost na kulike