Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Africa na resources zote bado masikini.

Are we really investing on Extracting these resources au tuna invest kwenye siasa?
Tuna nia kweli.

Tutaishia kuona flyovers na rockets kwenye movies.

Kama kweli Wa Africa tungetaka kuwa matajiri...system zingekuwa Imara na huu Uzi usingekuwa na hata page elfu tano.
Watu wako discouraged Hamna motivation...

Sema ndo hivyo Africa hakuna matata[emoji4]mwendo wakupost na kulike
pokea likes acha maneno
 
Back
Top Bottom