Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inasaidia pia ukijua kama ana sumu ama la...Nilishawahi kuumwa na joka wakati tunavuna mahindi nikalikanyaga. Madawa ya wazee wa kijijini yakanisaidia hata hospitalini sikupelekwa.
[emoji44][emoji44]
Leo shambani nilikua nafikiria nyoka muda wote.

Mimi nilinusurika kumkanyaga nyoka dodoma..Kuna mtu akanistua haraka nikaaogeza mguu mbele..kidole gumba hiki hapa kichwa Cha nyoka kipo hapo happy.
Niliimba pambio zote ile siku.
Usiku sikulala kwa jinsi lile movie lilivyocheza kichwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu nasikia ule mto una mamba

Mie napenda sana kusafiri yaani daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…