pokea likes acha manenoAfrica na resources zote bado masikini.
Are we really investing on Extracting these resources au tuna invest kwenye siasa?
Tuna nia kweli.
Tutaishia kuona flyovers na rockets kwenye movies.
Kama kweli Wa Africa tungetaka kuwa matajiri...system zingekuwa Imara na huu Uzi usingekuwa na hata page elfu tano.
Watu wako discouraged Hamna motivation...
Sema ndo hivyo Africa hakuna matata[emoji4]mwendo wakupost na kulike
Na togwa piaTuombe juice
Kuku kukuniBata batani