moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Picha iko wapi?
kuna tetesi kumla kambare kwa Muislamu ni haramu je ni kweli.
kuna tetesi kumla kambare kwa Muislamu ni haramu je ni kweli.
Shukrani mpendwa
Ni hiyo ë tu ndiyo inayokusumbua au kuna kingine ?? Mbona haina ugumu wowote ??
Ni kambale au kambare?Kambare ni samaki au nyoka?
Just google utaipataPicha iko wapi?
Mkuu picha iko wapi sasaJimbo la Florida, Marekani ni kosa kisheria kutumia staili zingine wakati wa kufanya mapenzi. Staili inayoruhusiwa ni Missionary Style' (Mfano kwenye picha)
Katika jimbo la Indiana, Marekani ni kosa kisheria kuoga katikati ya mwezi Oktoba na machi.