Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Daah nihamie hukoJimbo la Florida, Marekani ni kosa kisheria kutumia staili zingine wakati wa kufanya mapenzi. Staili inayoruhusiwa ni Missionary Style' (Mfano kwenye picha)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwamba hupendii shida.?[emoji2088][emoji2088]
Picha iko wapi?Jimbo la Florida, Marekani ni kosa kisheria kutumia staili zingine wakati wa kufanya mapenzi. Staili inayoruhusiwa ni Missionary Style' (Mfano kwenye picha)
[emoji122][emoji122][emoji122]Kwenye Maisha ni rahisi kukatishwa tamaa, Kamwe usikubali kuambiwa hauwezi.
Sawa tu na hapa JF.Facebook, Twitter, Instagram hawatoi maudhui yoyote (wewe ndiyo unatoa)
Aah sipendi tabu mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwamba hupendii shida.?[emoji2088][emoji2088]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji849][emoji849]ndo maana sipendi sodaUnywaji wa soda yenye kiasi cha 600 ml kila siku inazeesha uwezo wa seli za damu kwa kiwango sawa na mvutaji wa sigara wa miaka 4 mpaka 6. Kama ni mtumiaji mkubwa wa soda hakikisha unapenda kunywa maji mengi pamoja na mazoezi.
Kichwa cha chini. Sometimes kinajiamria tu mambo bila kuushirikisha ubongo halafu mtu unajikuta kwenye majuto. Sad !!!Uume' kwa asilimia fulani unajiongoza wenyewe bila uratibu wa akili (Ubongo). Ndio maana kuna wakati unasimama (erect) bila ubongo kuamrisha. Sababu nyingine ni Uume' umeundwa na baadhi ya Neva ambazo hazihitaji amri ya ubongo kufanya kazi, Neva hizo ndizo zinafanya kazi katika Moyo pia.
😁😁😁
Sheria hizi za zamani ni obsolete zimo tu vitabuni kama kumbukumbu na vichekesho. Njoo ukione cha moto [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Missionary unayoikimbilia si ndiyo mateso menyewe hayo ama? Kulaliwa na jibaba linalohema huku limelowa majasho limechemka wala halijielewi sababu ya utamu siyo mateso kweli?...wakati doggy unajibenua na kubong'oa tu kwa raha zako? Anyway....[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Eti nikimaliza kopo moja nakuwa sawa namvuta sigara wa miaka 4[emoji23][emoji23]....weeh! Sinywi soda mimi[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tenaaa lohSheria hizi za zamani ni obsolete zimo tu vitabuni kama kumbukumbu na vichekesho. Njoo ukione cha moto [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hahaha loh vyovyote iwavyo ila hiyo ni nzuri mara kumi zaidi ya zingineMissionary unayoikimbilia si ndiyo mateso menyewe hayo ama? Kulaliwa na jibaba linalohema huku limelowa majasho limechemka wala halijielewi sababu ya utamu siyo mateso kweli?...wakati doggy unajibenua na kubong'oa tu kwa raha zako? Anyway....[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Whu emu ai tu agyu withi yu oni zisi ishu?Hahaha loh vyovyote iwavyo ila hiyo ni nzuri mara kumi zaidi ya zingine
Sent using Jamii Forums mobile app