Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

images (28).jpeg
 
Ndevu humfanya mtu kuwa na afya nzuri zaidi. Tafiti zinaonesha kuwa ndevu husaidia kujikinga na maradhi mbalimbali kama Kujikinga na mzio (Allergy), Pumu, Muwasho pamoja na Vipele. Pia husaidia kulinda ngozi yako dhidi ya jua kali.
 
UTAFITI: Kucheza mziki kwa nusu saa hufanya mwili kutumia kiwango cha nguvu sawa na kalori 300, zaidi ya kiwango cha nguvu unachotumia ukifanya mazoezi ya kukimbia taratibu au kuogelea. Pia kucheza mziki hupunguza mkazo (stress).
 
Watafiti wadai matumizi ya dawa za usingizi kwa wale wanasumbuliwa na tatizo la kutopata usingizi wanapolala. Dawa huathiri kumbukumbu na utendaji wa ubongo wa kawaida. Pia huongeza mawazo ya mtu kutaka kukatisha maisha yake.
 
Unaweza kumtambua mtu ambae anadanganya kuhusu yale anayoongea/Anayoandika katika mtandao, kutokana na namna anavyotumia matumizi ya lugha. Mfano kwa asilimia kubwa hutumia kwa kiasi kidogo viwakilishi vya nafsi' kama Mimi, Wewe, Wao, Nyinyi n.k Lakini hutumia kwa kiasi kikubwa maneno ya Vivumishi' kama kizuri, Changu, Yake, Safi, Mrembo...
 
Back
Top Bottom