Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hilo tatizo hata mie lilishawahi kunitokea hilo dawa yake ni kufuta app na kuipakua upya, ila hili tatizo la sasa kila ninachofanya hola.
Miye kwangu picha hazionekani kwenye app. Sijui kama tatizo ni hii TECNO ama nini. Nimefanya kila ujanja hakuna kitu mpaka imebidi nitumie tapatalk yenyewe...
 
Tatizo ni hivyo viungo ninavyovitaka kule ni tabu kupatikana ndiyo maana, ila ikitokea nimevipata huwa najipikia chakula changu na viungo.
Cha kwako upike mwenyewe na uwe huru kujieleza mbele yake kwamba huwezi kula bila viungo.
Uoga unaanzia wapi,?
Aiwezi kula kitu ambacho moyo wangu hautaki. Na siwezi kuacha kutembelea maeneo nayotaka eti naogopa vyakula vyao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom