Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji120][emoji120]
Hapana inajulikana kuwa wenyeji wa Mbeya mjini ni wasafwa, ila nilichokuwa nasema hapo ni kuwa wasafwa wenyewe hawakai kwao. Wengi wamekimbilia milimani huko na shughuli yao kubwa ni kilimo kisicho cha biashara, hivyo kupelekea wengi wao kutofanikiwa sana kiuchumi.

Hakuna aliyesema wakinga ndiyo wenyeji wa Mbeya mjini, Anne alisema Mbeya mjini matajiri wengi ni wakinga. Ni sawa na kusema Dar matajiri wengi ni wanyakyusa au wahaya, hiyo haiwafanyi hao kuwa wenyeji wa Dar na haibadilishi ukweli kuwa wenyeji wa Dar ni wazaramo na wandengereko.
 
Jamani nyie mwenzenu tangu jana sipati notifications kwenye app yangu wala siwezi kuview threads na posts zangu kupitia profile yangu, na nyie wenzangu mna tatizo kama hilo au ni mimi tu.
Bora wewe tangu jana, mimi nina kama wiki 2 sipati notification yoyote kwenye app.....Nimejaribu kuipakua upya lakini shida iko pale pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna samaki huko hawaliwi?
Mbona baharini tunakula jamii zote za samaki ukiacha wale wenye sumu.
Mnakwama wapi?
Sasa hata hivyo viungo vyenyewe unadhani vinapatikana kirahisi basi, yeah samaki aliye na magamba haijalishi ni wa maji chumvi au maji baridi huwa nakula ila wasio na magamba yaani daah hapana kwa kweli.

Hata ziwa nyasa lina samaki wengi mno, wenyewe wanakuambia kuna maelfu ya species za samaki na ndiyo ziwa linaloongoza kuwa na samaki wa aina nyingi tanzania nzima basi tu wengine hawaliwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani nyie mwenzenu tangu jana sipati notifications kwenye app yangu wala siwezi kuview threads na posts zangu kupitia profile yangu, na nyie wenzangu mna tatizo kama hilo au ni mimi tu.
Miye kwangu picha hazionekani kwenye app. Sijui kama tatizo ni hii TECNO ama nini. Nimefanya kila ujanja hakuna kitu mpaka imebidi nitumie tapatalk yenyewe...
 
Mwanamuziki Aurlus Mabele, aliyetamba sana miaka ya 90 Amefariki nchini Ufaransa
FB_IMG_1584693588976.jpeg
 
Back
Top Bottom