Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapana inajulikana kuwa wenyeji wa Mbeya mjini ni wasafwa, ila nilichokuwa nasema hapo ni kuwa wasafwa wenyewe hawakai kwao. Wengi wamekimbilia milimani huko na shughuli yao kubwa ni kilimo kisicho cha biashara, hivyo kupelekea wengi wao kutofanikiwa sana kiuchumi.

Hakuna aliyesema wakinga ndiyo wenyeji wa Mbeya mjini, Anne alisema Mbeya mjini matajiri wengi ni wakinga. Ni sawa na kusema Dar matajiri wengi ni wanyakyusa au wahaya, hiyo haiwafanyi hao kuwa wenyeji wa Dar na haibadilishi ukweli kuwa wenyeji wa Dar ni wazaramo na wandengereko.
Kwahiyo kukiwa na matajiri wengi Wakinga hapo Mbeya ndiyo, tuseme wenyeji wa asili hapo ni Wakinga?
 
Sasa hata hivyo viungo vyenyewe unadhani vinapatikana kirahisi basi, yeah samaki aliye na magamba haijalishi ni wa maji chumvi au maji baridi huwa nakula ila wasio na magamba yaani daah hapana kwa kweli.

Hata ziwa nyasa lina samaki wengi mno, wenyewe wanakuambia kuna maelfu ya species za samaki na ndiyo ziwa linaloongoza kuwa na samaki wa aina nyingi tanzania nzima basi tu wengine hawaliwi.
Kama upo hapo kijijini si utapika mwenyewe vile unavyotaka, kwani watakulazimisha ule samaki wasio na viungo.
Vinginevyo mto Songwe na mito mingine kuna samaki wa kila aina pamoja na wenye magamba.
Ukifika kwenu usijipe unyonge, jitahidi kujichanganya, maana kila mtu ana kwao
 
Aiseee unaweza kuogelea kwenye bahari, mie ile chumvi hapana kwa kweli. Kama maji ya swimming pool tu yakiniingia puani nahisi kuchanganyikiwa sembuse yale ya bahari uwiiiiii [emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Uje nikufundishe, hakuna maji yananishinda.
Naogelea, Ziwani, Mto na kadhalika Bahari.
Lakini mahali kwenye Mamba nakuwa muoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom