moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ila nawe umetisha, kwenye kipindi kisicho fikia hata mwaka mmoja hapa jf tayari umebadirisha I'd mara tatu!!
Huoni tatizo hapo
Huoni tatizo hapo
Ndiyo, mbona adhabu ya kutobadili id milele iko kwangu tu wakati kuna watu kama kina Denvers na Santino hawajapewa hiyo adhabu.