Naomba karanga nijibusti
Naomba karanga nijibusti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naomba karanga nijibusti
Haoni kabisa huyu dogo[emoji23][emoji23][emoji23]Ila nawe umetisha, kwenye kipindi kisicho fikia hata mwaka mmoja hapa jf tayari umebadirisha I'd mara tatu!!
Huoni tatizo hapo
Mara 5 Kama si sita.Ila nawe umetisha, kwenye kipindi kisicho fikia hata mwaka mmoja hapa jf tayari umebadirisha I'd mara tatu!!
Huoni tatizo hapo
Vizuri.
Kama kawaida D naimani uzima upo?Niambie D 😀😀😀
Hahah! Nafurahi kuona huna tena woga D....Ndio..na Isabellah alivyosema haumwi tena anataka akaoge ajipodoe ndio kabisaa nishasahau kama kuna corona
Usiwe mtu wa kujishtukia tu vinginevyo utashindwa wakati inawezekana
Nimeuliza tu swali jamani mbona wanisimanga?Usiwe mtu wa kujishtukia tu vinginevyo utashindwa wakati inawezekanaView attachment 1393750
Nimecheka sana aisee hasa huyo wa mbao za mawe, viatu vya samaki, roboti la matope [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Huyu atakuwa na ishuzi aisee...
Mondray bado mdogo ila nadhani ni wale watu wenye akili sana ambao fikra zao hazitulii kila wakati wanawaza hili na lile. Fikra hizi zimefika mpaka kwenye id....
Na mimi nataka kubadili id sasa wewe na Saint Anne nichagulieni nzuri. Hata kama ni ya Kinyakyusa sawa tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Imeshatimiza mwaka...nilijirecord kipindi nyimbo inatrend [emoji28]
2019 snap iliniharibu halafu nilikuwaga natumia IPhone, bora sahii nimeacha maana nimerudi Tecno na tecno ukijisnap maneno yanapishana. Basi nikifikiria tu nakoma
😂😂😂 Samahani jamani ila haikuwa na lengo la masimango