Rostema
JF-Expert Member
- Nov 27, 2018
- 2,926
- 9,495
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kwani wanapendeza na wewe ?? Hebu usinichumishe dhambi mimi !! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cc sote wake Allah na kwk wote tutarejeaShekhe Nyundo..
Allah amrehemu na amjaalie kaburi lake kuwa miongoni mwa bustani za peponi.View attachment 1393917
Point...Inasemekana huko italy idadi kubwa ya watu ni wenye umri mkubwa (wazee) hivyo immunity zao ni dhafu kuhimili makali ya covid-19
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaah this is too much sasaSayari ya Uranus unaambiwa inanukia harufu ya ushuzi' (Kijambo) anga lake unaambiwa linatoa harufu kama yai lililo oza.
Ndio sisi mama [emoji3][emoji3]
Dah! Hizi harakafi hizi sio poa zinatakiwa zitulipe japo tuwakaribie wakina MoChimbo bro, ndio maana mtandao hausomi poa
Itagemea km nikishiba ndo tutaangalia km uwezekano wa kusamehana upo au laa [emoji1787]
Namkumbuka huyu binti,wewe utakuwa ni classmate wangu..
Naendelea kukusoma
Wtf, labda wembeKwa urembo alionao tukikutana naye utampa zawadi gani?[emoji2089][emoji2089][emoji2089] View attachment 1393920
Sent using Jamii Forums mobile app
Point...
Kama ni hivyo basi hiyo ndio sababu ya msingi. Mungu awamulikie [emoji120]
Amin mkuu
Yeye hata Kijijini kutembelea ndugu hajawahi kwendaHata kama kakulia Dar inabidi kufuatilia asili yao na haya mambo, mie mwenyewe nimekulia Dar ila ninayajua hayo mambo.
Vijana wa siku hizi sijui wanakwamba wapi tu, halafu kumbe ndiyo maana anauliza maswali mengi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna anaesahau makao makuu ya nchi.
Mke ndo kila kitu sio michepuko.
Michepuko ni ya kufanyia mazoezi tu, mechi rasmi kwa mke tu.
Sent using Jamii Forums mobile app