Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwanza bibi yangu huwa anapenda kujifanyia vitu vyake mwenyewe, yaani hadi nguo zake anataka ajifulie mwenyewe. Anakuambia eti akisema abweteke sababu ya uzee ndiyo atakaribisha magonjwa mengi zaidi, hivyo bora ajishughulishe ili mwili usidhoofu.
Mimi kwa watu huwa sijisumbui kupika.
Utapika hivi kumbe wenzio wanapika vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kaoga sana, mie kwa kweli hata nikitaka kujua kuogelea siwezi kujifunzia kwenye maji ya bahari na hata ingenibidi kujifunzia huko nisingekubali kufundishwa na mtu nisiyemjua.

Dada yangu aliwahi kuniambia "mdogo wangu maji yamemeza watu wengi sana kuliko ardhi ilivyomeza"
Unifundishe?
Ili niende kufa kama yule mzungu zenji au yule mtangazaji Nani jina sijui

Wallah utanishawishi vitu vyote nikakubali ila sio kunipeleka kwenye maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kaoga sana, mie kwa kweli hata nikitaka kujua kuogelea siwezi kujifunzia kwenye maji ya bahari na hata ingenibidi kujifunzia huko nisingekubali kufundishwa na mtu nisiyemjua.

Dada yangu aliwahi kuniambia "mdogo wangu maji yamemeza watu wengi sana kuliko ardhi ilivyomeza"
Majanga ya kujitafutia sitaki kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom