Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Hii inawezekana ila hiyo ya kunanii huku wapo fb ni ajaabuWataalamu,mie naweka kula huku nachat iwe ugali,chips etc
Hii inawezekana ila hiyo ya kunanii huku wapo fb ni ajaabuWataalamu,mie naweka kula huku nachat iwe ugali,chips etc
😀😀Sayari ya Uranus unaambiwa inanukia harufu ya ushuzi' (Kijambo) anga lake unaambiwa linatoa harufu kama yai lililo oza.
Mungu akuepushe huko uliko mpendwaHofu ilikuwepo lakini imeshaisha
😁😁😁😁😁😁Sayari ya Uranus unaambiwa inanukia harufu ya ushuzi' (Kijambo) anga lake unaambiwa linatoa harufu kama yai lililo oza.
AsanteMungu akuepushe huko uliko mpendwa
Huwa inatokea hiyo hali, ila ni bora yamekwenda laa sivyo yangekunyima raha tuAsubuhi niliamka na mafua ila sahivi hata sijui yameenda wapi
Mimi natamani ujiite Gashimba au shimba.Nimecheka sana aisee hasa huyo wa mbao za mawe, viatu vya samaki, roboti la matope [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Huyu atakuwa na ishuzi aisee...
Mondray bado mdogo ila nadhani ni wale watu wenye akili sana ambao fikra zao hazitulii kila wakati wanawaza hili na lile. Fikra hizi zimefika mpaka kwenye id....
Na mimi nataka kubadili id sasa wewe na Saint Anne nichagulieni nzuri. Hata kama ni ya Kinyakyusa sawa tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Mojawapo ya faida ya harufu ya ushuzi , Husaidia kujikinga na magonjwa ya mbeleni kama Matatizo ya moyo na kiharusi sababu ni kutokana na kiasi cha gesi ya Hydrogen Sulphide'
Mimi natamani ujiite Gashimba au shimba.
Ukishindwa acha hivyohivyo SYB
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuangalia matiti ya mwanamke kwa dakika 10 ni bora zaidi kuliko kwenda Gym" kwa mujibu wa utafiti uliofanyika nchini Ujerumani.
Gashimba?Mimi natamani ujiite Gashimba au shimba.
Ukishindwa acha hivyohivyo SYB
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka na Wewe uwe msumbufu Kama santino?Kweli huyo ndiye mwenye matatizo, ila kwa vile anne best yake ndiyo maana anamtetea.
Yeah kale katoto kana uwezo mkubwa wa kufikiri, halafu kanafuatilia mambo mengi.
Mie naomba ujiite Emson, sina hata sababu ila basi tu napenda hilo jina linavyotamkwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kd usipoteze muda gym[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kwa watu huwa sijisumbui kupika.Hapo sasa, na bibi yangu ukimpikia samaki au nyama nyingine yoyote na viungo hali.
Naona hicho ndicho ulitaka kusikia kutoka kwanguKama hivyo wewe ni Mndali, tunahangaika hapa kuwa mnyakyusa kumbe Mndali wa Ileje.
Ileje ya marehemu mh Waziri wa Fedha mchapakazi Steven Kibona