Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mbu' jike pekee ndiyo wanaokunywa damu, madume asilimia kubwa wao hula mimea (Mboga, majani n.k)
Google utaionaAisee mpaka kwenye mambo hayo.
Je nani anahakikisha style zingine hazifanyiki? Mkuu picha iko wapi sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe na udai caresma
Maajabu inawezekanaje yaani huku wameshika simuAsilimia 5% ya waingereza hufanya mapenzi huku wakiwa wanaperuzi' katika mtandao wa Facebook'
Wataalamu,mie naweka kula huku nachat iwe ugali,chips etcMaajabu inawezekanaje yaani huku wameshika simu
😀😀 hamna usumbufu wowote broHapana mim sio mgeni hapa bali nilipumzika tu kama miezi kadhaa.
Samahani kwa usumbufu ambao umeupata .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hofu ilikuwepo lakini imeshaishaAisee kwamba huna hofu mpendwa huko kwenu si vimetapakaa mno virus