Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Nilishawahi kufika sehemu Mimi huyo nikapitiliza jikoni kupika..Si utakuwa umefika kwa bibi yako, mama mkubwa, mdogo, kwa nini usiwe huru.
Sijui labda huko kwenu Mira zenu sizijui
Kumbe hata wenyewe hawapiki style ile
Shemeji yangu yule msukuma ana masharti kibao..mimi kichwakichwa nikaenda kupika
Tangu hapo sijarudia Tena tabia ya kupika kwa watu.
Sent using Jamii Forums mobile app