😂😂😂😂😂Hufai wewe
Hakuna samaki mwenye sumu mtoni wala ziwani.
Kama yupo nitajie.
Ila ninavyojua watu waliozungukwa na maji matamu wanajifanyaga kuchagua chagua samaki.
Kama ulivyo wewe, maana hutaki kula kitoga, mkunga, kambare, ngogo, sulusulu, lumbilumbi eti kwa kuwa hawana magamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unapenda kujibadirisha badirisha, kuanzia jina, mavazi, vipodozi nk.
Hongera [emoji23][emoji23]
Aisee,duniani tunapita tu,safari yetu ni moja
Habari njema hizo mzee mwenzangu....Mungu anasaidia mzee mwenzangu, hatujambo kabsa..
Mitikasi inaendaje huko?
Kwamba?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi yameisha
Kwakuwa tatizo unalijua, kila unapofanya safari ya huko unaenda na viungo vyako
Amekulia dar huyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani moud bhana, hivi unajua mtu unapofika kwa watu halafu ukakataa chakula wanachokula wao ukataka kujipikia cha kwako inaleta picha gani hasa huko vijijini walikoshika mila na desturi?
Huwa tunajipikia basi tu ila inaleta picha mbaya sana, halafu unajua wale ni wazee wetu wanaweza wakakunenea lolote.
😀😀😀😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
#Yameisha
Kweli mzee,Habari njema hizo mzee mwenzangu....
Kimtindo hili janga linazuia majambo kusonga ila kibishi hayakatai kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] oohh ndiyo ninyi watu wanaowasemea kuwa mnajirecord video halafu hamsemi chochote zaidi ya kuweka mashauzi na kulamba midomo tu
Kambare ni samaki au nyoka?
Hata huku wanakufa ila siyo kwa covd19
Hahah! Naelewa naelewa ....... Chamsingi ni mjongeo tu mambo mengine yatachanganya mbele ya safariKweli mzee,
sisi wa wazee wa zaman huwa tunakijimsemo chetu kile tunasema "tunasonga kwa mwendo wa farasi ama kinyonga tunasonga"
Kalapina -Tunasonga
My fav chocolate 😋😋 hadi mate bro
Namkumbuka huyu binti,wewe utakuwa ni classmate wangu..Duuh hizo zote ni aina za samaki ?? Hapo namjua Kambare tu na ndiye samaki ninayechukia kumla kuliko wengine wote wanaoliwa, Kitoga si jina la mtu hilo niliwahi soma na msichana wa kuitwa Kitoga.
Yaan na weekend hiii. NingeliaHuwa inatokea hiyo hali, ila ni bora yamekwenda laa sivyo yangekunyima raha tu