Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah sifa zote hizi zanguHabari yako binti mpole?
Binti mrembo, binti mwenye rangi yake.
Salama kabisa,za ulipo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah sifa zote hizi zanguHabari yako binti mpole?
Binti mrembo, binti mwenye rangi yake.
😂😂😂 umemsikia huyu binti wa Mbeya?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AiseeAisee huko pananifaa sana
Snap naingia kujirecod video tu ila watu wanachat kule (me kuchat na kupost kule siwezi)
Tecno we iache tu mama maana ni majanga, mdomo unapishana na sauti...utaiona niliyojisnap na tecno ni mwendo wa kibubu tu na kusmile [emoji1787][emoji1787]
Maji lazima yaingie kinywani lakini si unayatena tu.
🤣🤣🤣🤣🤣 basi yameisha
Hahahaha, huenda ni sehemu ya adhabu.
Eeh zote za kwako binti mpole, mnyenyekevu na msikivu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah sifa zote hizi zangu
Salama kabisa,za ulipo?
Yanaingia lakini lakini si unayatema au kuna shida hata yakifika mdomoni.
Hahah! Mnanifurahisha mpendwa sasa wacha nizigonge hizo hizo 😂😂Like zako nimezikubali za 😀😀
Mzee mwenzangu..uzima upo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi yameisha
Hata huku wanakufa ila siyo kwa covd19
Ningendako
Eeh zote za kwako binti mpole, mnyenyekevu na msikivu..
Huku salama kabsa, uzima upo
[emoji23][emoji23][emoji23]aiseeWabheja,asante,wakorawaitu
Alhamdulillah!Mzee mwenzangu..uzima upo?
Mungu anasaidia mzee mwenzangu, hatujambo kabsa..Alhamdulillah!
Vipi hapo maeneo mzee mwenzangu?