Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1584638064548.jpeg
 
Sie tulishawahi kuwafuga kwenye bwawa, yaani bora umuone hivi akiwa ameshapikwa unaweza ukamla ila ukipitia zile process za kuanza kumuua na alivyo mbishi kufa, kumsugua ule uchafu umtoe weusi hadi arudi kuwa wa silver umkatekate umsafishe umpike, ukitoka hapo hata hamu ya kumla huna.
Kuna vitu nitakufa sijakula.

Kuku mwenyewe nikimuona kabla ya kuchinjwa siwezi kumla.
Kuna Wamama ni majasiri wanachinja kuku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Khaa hivi utapafananisha Ileje na Kyela we mtoto ?? Hata maeneo tunayotokea tu hayalingani !! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We kwenda huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanyakyusa ndio wanatutiaga Aibu Sana.
Bora hata wandali

Bora wametutenganisna tu maana..nimepanda gari Hadi dereva anaongea lafudhi hiyo..ni kama wandali tu kwenye Yale mabasi Yao yanayoenda ileje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani sana kumla

Back
Top Bottom