Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Your thoughts wakuu
faraj_asas-1~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujakosea kamanda...

Hapo sasa mida ya saa nne hivi asubuhi brekifasti kiporo cha ugali na maziwa mgando (maliboto). Ukitoka hapo kama huna mishe ni kwenda kujilaza kibarazani tu na kuuchapa usingizi mtamuuuu....

Umenikumbusha mbali sana enzi za National Panasonic....
 
Back
Top Bottom