Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ndio yakiingia yanaumiza sasa
Umenikumbusha miaka ya zamani bado hujazaliwa kulikua na nchi inaitwa Tanganyika, utaratibu wake ulikuwa ukihitimu masomo ngazi ya juu lazima uende jeshini kupatakuwa Jasiri na Mzalendo kitu ambacho sikukubaliana nacho nikaingia mitini...Niko jeshi mwaka wa 10 nishindwe kuchinja kuku😎
Labda, ngoja niwatafute tena.
Eeh zote za kwako binti mpole, mnyenyekevu na msikivu..
Huku salama kabsa, uzima upo
Malahabaaa mkuu
Yakiingia puani yanaumiza na yakiingia mdomoni ofcourse kuna yale yatakayowahi tumboni kabla haujatema
Karibu ukweni....[emoji7][emoji7][emoji7]
View attachment 1394075
Heshima yako bro
Kuna siku nilipewa adhabu ya kuchinja dume la ng'ombe duh ilikuwa kasheshe....Umenikumbusha miaka ya zamani bado hujazaliwa kulikua na nchi inaitwa Tanganyika, utaratibu wake ulikuwa ukihitimu masomo ngazi ya juu lazima uende jeshini kupatakuwa Jasiri na Mzalendo kitu ambacho sikukubaliana nacho nikaingia mitini...
Baada ya mafunzo kuisha nilikutana na jamaa yangu aliyetoka jeshini sasa wakati wa maongezi alidondokewa na Mjusi, sasa kelele alizopiga na kule kujirusha rusha ilikua ni vichekesho...
Samahani kwa hadithi ndefu ila nia ni kukuambia Jeshi halikupi uhakika wa kufanya hayo. Wacha tu kumchinja kuku wewe ata kumbeba huwezi
Kuku wa kizungu huyo kapelekwa shamba kula Mchwa
Maji ya yakiingia mdomoni na puani bila mpangilio maalum yanauma.Kuogelea ishanitokea mara mbili yaliingia puani yanauma.We nawe ni wakishua, maji yataumizaje mdomoni au puani!!?
Unapiga chafya mambo yanaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mauzoefu yako bro. Nakukubali sana kwenye hii sekta yetu tukufu [emoji16][emoji16]Kuku wa kuzungu huyo kapelekwa shamba kula Mchwa
Matembele piaKuku wa kuzungu huyo kapelekwa shamba kula Mchwa