Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wakuu baadaye. Nimeitwa [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hilo dume la Ng'ombe uchinje peke yako au au wa kukushikia miguu walikuwepo?Kuna siku nilipewa adhabu ya kuchinja dume la ng'ombe duh ilikuwa kasheshe....
(Anyway hii ni nje ya mada yenu[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099])
Duuh hizo zote ni aina za samaki ?? Hapo namjua Kambare tu na ndiye samaki ninayechukia kumla kuliko wengine wote wanaoliwa, Kitoga si jina la mtu hilo niliwahi soma na msichana wa kuitwa Kitoga.
😂😂😂😂😂Mauzoefu yako bro. Nakukubali sana kwenye hii sekta yetu tukufu [emoji16][emoji16]
😁😁😁Davie muulize kaka yangu wa damu Ukwa...atakueleza ujasili wanguUmenikumbusha miaka ya zamani bado hujazaliwa kulikua na nchi inaitwa Tanganyika, utaratibu wake ulikuwa ukihitimu masomo ngazi ya juu lazima uende jeshini kupatakuwa Jasiri na Mzalendo kitu ambacho sikukubaliana nacho nikaingia mitini...
Baada ya mafunzo kuisha nilikutana na jamaa yangu aliyetoka jeshini sasa wakati wa maongezi alidondokewa na Mjusi, sasa kelele alizopiga na kule kujirusha rusha ilikua ni vichekesho...
Samahani kwa hadithi ndefu ila nia ni kukuambia Jeshi halikupi uhakika wa kufanya hayo. Wacha tu kumchinja kuku wewe ata kumbeba huwezi
😂😂😂 noma sana
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] khaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Walikuwepo lakini nadhani walikuwa wametonywa kuwa wazembee. Nilitoka hapo nimelowa damu utafikiri mimi ndiyo nimechinjwa...halafu sasa kumbe nilipaswa kukinga damu zisimwagike wazee wanasubirisha waende wakachanganye na utumbo na viungo vingine vya ndani wakaange wale. Mi nikaacha damu yote ikamwagika. Wazee waliwaka balaa ikabidi kwenda kuwatafutia gongo ndiyo wakapotezea [emoji16][emoji16]Hilo dume la Ng'ombe uchinje peke yako au au wa kukushikia miguu walikuwepo?
Tafiti: IG, Fb, twt na JF havikupi mada
Embu nipe namba yako nikupigie umpe simu nimuulize 😀😁😁😁Davie muulize kaka yangu wa damu Ukwa...atakueleza ujasili wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ng'ombe wanaonekana wana nguvu sana sasa sipatii picha ilikuaje hizo purukushani...... ila nahisi ata purukushani zako za siku hizi na madude makubwa makubwa uzoefu uliupatia kwenye hichi kisa chako cha Ng'ombe 😂😂😂Walikuwepo lakini nadhani walikuwa wametonywa kuwa wazembee. Nilitoka hapo nimelowa damu utafikiri mimi ndiyo nimechinjwa...halafu sasa kumbe nilipaswa kukinga damu zisimwagike wazee wanasubirisha waende wakachanganye na utumbo na viungo vingine vya ndani wakaange wale. Mi nikaacha damu yote ikamwagika. Wazee waliwaka balaa ikabidi kwenda kuwatafutia gongo ndiyo wakapotezea [emoji16][emoji16]
Sent using TECNO F1 Wereva
Bro [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ng'ombe wanaonekana wana nguvu sana sasa sipatii picha ilikuaje hizo purukushani...... ila nahisi ata purukushani zako za siku hizi na madude makubwa makubwa uzoefu uliupatia kwenye hichi kisa chako cha Ng'ombe [emoji23][emoji23][emoji23]
Yupo jukwaa la siasa huko muulize pm eti bro ukwa.. 😀😀😀Embu nipe namba yako nikupigie umpe simu nimuulize 😀
BBWBro [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1394100
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani moud bhana, hivi unajua mtu unapofika kwa watu halafu ukakataa chakula wanachokula wao ukataka kujipikia cha kwako inaleta picha gani hasa huko vijijini walikoshika mila na desturi?
Huwa tunajipikia basi tu ila inaleta picha mbaya sana, halafu unajua wale ni wazee wetu wanaweza wakakunenea lolote.
😂😂😂Bro [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1394100
Ni samaki mama, tena samaki ambaye uwepo wake unatokana na uchafu. Ndiyo, kambare anaweza akajizalisha mwenyewe kutoka kwenye dimbwi au bwawa lenye maji machafu.
Ndiyo maana umbo lake ni kama viluwiluwi vya chura, hata awe mkubwa vipi.