Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
😄😄 huyu Mbuzi wanamchorafa mfupi sana
😀😀😀 fatilia viatu vya cr7 na mdomo wake wa juu
Check nyusi za Mo Salah upande mmoja zinapepea 😂😂😂😂😀😀😀 fatilia viatu vya cr7 na mdomo wake wa juu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Check nyusi za Mo Salah upande mmoja zinapepea 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani atanisaidia kuogelea?Beach boy mwenyewe ndio anasema atakufundisha sasa wewe wasi wasi wa nini?
Hao mafundi wa kuogelea popote utakapo kuwa nae majini usiwe na wasiwasi juu ya uhai wako
Mbona kila siku najisema au hujawahi nibahatisha nikisema?
Tafsiri yake Ni mndali sijaruka vizuriDaah umenikumbusha jamaa yangu Mndali ndanyelakakomu
Nilikuwa natamani kujua maana ya hilo jina. Ahsante Anne wa Ostaz
🙂🙂 umeshindaje bebi broMarahaba bebi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
(Treni kwa mbele ezi yujo [emoji16][emoji16][emoji16])
Mimi Wala siwezi kubali kunusuru maisha yangu namna hiyo,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao mafundi wa kuogelea popote utakapo kuwa nae majini usiwe na wasiwasi juu ya uhai wako